Una miaka 25 unataka kuoa umekuwa mgogo wewe
Utaacha lini kulia [emoji848]Heheh... sijasema nataka kuoa... kuoa haiwezi kuwa sasa... lazima itake time umjue mtu wako kwanza... at least nipunguze times za kurudi kulia humu....
[emoji1] [emoji1] asubiri akue kidogo et?Una miaka 25 unataka kuoa umekuwa mgogo wewe
Hahaaaa...ulikuja mbio? [emoji3][emoji3]Badilisha kichwa cha habari uongeze neno "mchumba wa kike".
Maana hilo neno limetufelisha, si wengine tumekuja mbio mbio kuwahi siti tukijua ni mdada ndo anaetafuta mchumba.
NB Tupia na kapicha kako, ili kama kuna mdada katokea ku mind flag, ajue anawasiliana na nani mapema mkuu
Badilisha kichwa cha habari uongeze neno "mchumba wa kike".
Maana hilo neno limetufelisha, si wengine tumekuja mbio mbio kuwahi siti tukijua ni mdada ndo anaetafuta mchumba.
NB Tupia na kapicha kako, ili kama kuna mdada katokea ku mind flag, ajue anawasiliana na nani mapema mkuu
MmmhNatafuta mchumba wa kiume
Hahahaha...Mmmh
AseeHahahaha...
Sitapanga kukudanganya, ntasema tu ukweli mamaa.[emoji22]Natafuta mchumba wa kiume