Natafuta mchumba (Serious)

Natafuta mchumba (Serious)

Status
Not open for further replies.

42774277

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
6,833
Reaction score
8,853
Guys, I'm in need, Mimi ni mwanaume and nahitaji mchumba wa kike ambaye kama Mungu akijalia tuje tuoane. Nipo Dar, Am 25 and nipo humble and cool. Sioni umuhimu wa kuweka elimu yangu sababu sina matumizi nayo kwa sasa.

Ninayemuhitaji asizidi miaka 25. Na pia ni vizuri akawa ni mtu anayejitambua.

Kama upo interested naomba unitafute kwa 0710189191. unaweza kupiga au kutuma msg. Karibuni.
 
Una miaka 25 unataka kuoa umekuwa mgogo wewe
Heheh... sijasema nataka kuoa... kuoa haiwezi kuwa sasa... lazima itake time umjue mtu wako kwanza... at least nipunguze times za kurudi kulia humu....
 
Heheh... sijasema nataka kuoa... kuoa haiwezi kuwa sasa... lazima itake time umjue mtu wako kwanza... at least nipunguze times za kurudi kulia humu....
Utaacha lini kulia [emoji848]
 
Naomba id jiba la yule dada aliyesema jana kuwa hajawahi kukojozwa
 
Badilisha kichwa cha habari uongeze neno "mchumba wa kike".

Maana hilo neno limetufelisha, si wengine tumekuja mbio mbio kuwahi siti tukijua ni mdada ndo anaetafuta mchumba.

NB Tupia na kapicha kako, ili kama kuna mdada katokea ku mind flag, ajue anawasiliana na nani mapema mkuu
Hahaaaa...ulikuja mbio? [emoji3][emoji3]
 
Natafuta mchumba wa kiume
Badilisha kichwa cha habari uongeze neno "mchumba wa kike".

Maana hilo neno limetufelisha, si wengine tumekuja mbio mbio kuwahi siti tukijua ni mdada ndo anaetafuta mchumba.

NB Tupia na kapicha kako, ili kama kuna mdada katokea ku mind flag, ajue anawasiliana na nani mapema mkuu
 
Natafuta mchumba wa kiume
Sitapanga kukudanganya, ntasema tu ukweli mamaa.[emoji22]

Kwa hio picha ulioweka kwenye display kama ni wewe, ukinipetipeti kidogo tu utanikamata mtima pabaya aisee, kuna mengi yananikwaza sana, yani chenga, moja wapo mi ni dhaifu sana kwa warembo wazuri kama wewe.

Inawezekana labda umri wangu mdogo ndo sababu, au pengine ndo mapungufu yangu. Ila mi mkweli[emoji22]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom