Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahaSitapanga kukudanganya, ntasema tu ukweli mamaa.[emoji22]
Kwa hio picha ulioweka kwenye display kama ni wewe, ukinipetipeti kidogo tu utanikamata mtima pabaya aisee, kuna mengi yananikwaza sana, yani chenga, moja wapo mi ni dhaifu sana kwa warembo wazuri kama wewe.
Inawezekana labda umri wangu mdogo ndo sababu, au pengine ndo mapungufu yangu. Ila mi mkweli[emoji22]