Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi tayari nina mke, je unakubali kuwa mke wa pili nikupm?
Kama upo serious hapa utapata matapeli.
Mimi tayari nina mke, je unakubali kuwa mke wa pili nikupm?
Elimu na kila sifa mwonekano wote si kitu ila kama upo serious please nakuomba zama kwa Mungu kimaombi yeye atakupa mume aliye bora. Uweze kupata maisha bora ya ndoa yasiyo na misukosuko!!! Maana kwa maelezo yako kwa sasahivi uko well of hivyo u are a good attraction for magumashi matapeli ambao niwengi wajanja!!!!!! Tafadhari ni PM nikupe advise zaidi!!!! Please employ God to assist in this wonderful venture marriage!!!!!! Ubaraikiwe!!!!!!Natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mume wangu
sifa zangu
mimi ni msichana, nina miaka 27 nina shahada ya pili ya sheria (masters) sm 180 urefu, 70KG UZITO , MWEUPE NATURAL SIO MKOROGO.
Na hitaji mwaume ( mchumba) SIFA UMRI MIAKA 28-35 MREFU, MNENE WA WASTAN, ASIWE NA KITAMBI, ELIMU ANGALAU DASASA LA SABA ILA AWE ANAJUA MAHESABU ILI AWEZE KUSIMAMIA MIRAD YE2 ANBAYO NIMESHAIANZISHA KWANI KILA NILICHONACHO SASA NI CHAKWE2 MIMI NA yeye. AMBAO MPO SERIOUS MNI PM. Sibagui, kabla, rang wala dini.
Kwa hiyo unataka tukutafute kwa kuwa una investment???? Halafu mbona umetutenga wenye vitambi halafu unasema huna ubaguzi, Ulisoma lini na ukapata hizo investment zote lini kwa umri wa miaka 27? I was otherwise interested, bahati mbaya kitambi nnacho.
mmmh ina maana hata wewe ni tapel sasa nitawapata wapi wa ukweli?
Nami Sifa zangu ni;
Miaka 30,
Degree 1 (ya pili ndio naisoma now),
Mrefu 180cm,
Uzito 85Kg,
Sio mnene wala mwembamba but kitambi kipo,
Gari 2 za kutembelea,
Gari 4 za Biashara,
Gari 1 inakuja melini,
Viwanja vi3 (kimoja najenga sasa),
Nina mtoto m1 nliempata nikiwa Form 5,
Muislamu.
Zinakufaa hizi sifa??
Natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mume wangu