Slim
Senior Member
- Nov 12, 2008
- 145
- 179
Jambo! Natumaini wote mko salama na Mungu anawapenda sana.
Natafuta rafiki mzuri wa kike maybe ndio atakuwa wangu wa milele nina 40 yrs, niko Arusha kwa sasa napambana nina mtoto mmoja ana miaka nane nilimpata nikiwa chuo.
Nikipata mzee mwenzangu itakuwa poa hahaha coz labda tutafanana kwenye priorities sema nimekula bata sana sasa nataka kutulia kuweka mambo sawa na naamini wakati ndio huu naona na mvi zinaanza kwa mbali dah sema bado naonekana handsome boy kwahiyo kama uko tayari nichek DM tuyaweke sawa.
Asanteni sana wana JF. Mungu awabariki sana.😎