Natafuta Mchumba Uzeeni naamni nitapata hapa

Natafuta Mchumba Uzeeni naamni nitapata hapa

Nimemiss sana penzi nina miaka mitatu siko kwenye mahusiano kweli dah huwezi amini. Niooneni huruma mabinti jamani humu afu umri ndio huo unakimbia sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naishi Njiro, Arusha. Sikuunganisha chuo nilienda baadae. Mama mtoto yuko Mwanza na mishe zake. Kumsalimia mtoto sio mbaya ni haki yake ila mambo mengine nitakuwa strict sana kwamba asije akachafua hali ya hewa nikiwa na mahusiano mapya. ila nitakayempata nitampenda sana nitamheshimu sana na nita msapoti kwa anachopenda kufanya muhimu tu kiwe kitu kizuri na halal. Nimemiss sana penzi nina miaka mitatu siko kwenye mahusiano kweli dah huwezi amini. Niooneni huruma mabinti jamani humu afu umri ndio huo unakimbia sana.
Sawa mkuu
 
Jambo! Natumaini wote mko salama na Mungu anawapenda sana.

Natafuta rafiki mzuri wa kike maybe ndio atakuwa wangu wa milele nina 40 yrs, niko Arusha kwa sasa napambana nina mtoto mmoja ana miaka nane nilimpata nikiwa chuo. Nikipata mzee mwenzangu itakuwa poa hahaha coz labda tutafanana kwenye priorities sema nimekula bata sana sasa nataka kutulia kuweka mambo sawa na naamini wakati ndio huu naona na mvi zinaanza kwa mbali dah sema bado naonekana handsome boy kwahiyo kama uko tayari nichek DM tuyaweke sawa. Asanteni sana wana JF. Mungu awabariki sana.😎
Njoo tuyajenge mzee mwenzangu...
 
Mimi sitanii niko serious kweli naamini mungu atanipa laaziz wa moyo wangu inshallah
Njoo kwenye uzi wa pichq za warembo world wide ujichagulie au ule wa kula kimasihara upate mbinu
 
hujani invite mkuu ndo upi huo
 
hujani invite mkuu ndo upi huo
 
hujani invite mkuu ndo upi huo
 
hujani invite mkuu ndo upi huo
 
Hujapata tuu?
Mkuu huko mtaani hali ikoje ina maana umekosa kabisa kabisa hadi umekuja huku kwenye simple random selection? Huoni possibility ya errors ni kubwa kuliko huko nje ambako ungefanya purposive selection??
 
Hujapata tuu?
Mkuu huko mtaani hali ikoje ina maana umekosa kabisa kabisa hadi umekuja huku kwenye simple random selection? Huoni possibility ya errors ni kubwa kuliko huko nje ambako ungefanya purposive selection??
nipe nafasi
 
Back
Top Bottom