Natafuta Mchumba Uzeeni naamni nitapata hapa

Slim

Senior Member
Joined
Nov 12, 2008
Posts
145
Reaction score
179
Jambo! Natumaini wote mko salama na Mungu anawapenda sana.

Natafuta rafiki mzuri wa kike maybe ndio atakuwa wangu wa milele nina 40 yrs, niko Arusha kwa sasa napambana nina mtoto mmoja ana miaka nane nilimpata nikiwa chuo.

Nikipata mzee mwenzangu itakuwa poa hahaha coz labda tutafanana kwenye priorities sema nimekula bata sana sasa nataka kutulia kuweka mambo sawa na naamini wakati ndio huu naona na mvi zinaanza kwa mbali dah sema bado naonekana handsome boy kwahiyo kama uko tayari nichek DM tuyaweke sawa.

Asanteni sana wana JF. Mungu awabariki sana.😎
 
Leo ni zamu ya wazee[emoji1787][emoji1787]
 
Hapana niko serious kabisa sio utani best angu leo sijalala nashukuru nimepata mmoja ngoja nione
Uko Arusha mtaa gani?

Umesema una mtoto ulimpata chuoni, ana 8yrs minus yours = 32… chuo gani ulikisoma na 32yrs au ulimpata wakati wa MA?

Mama yake yuko wapi? Zile za amepiga simu anataka kumsalimia mtoto wake zipo au?

Asking for a friend
 
Si wote waliosoma kwa kuunganisha, wengine baada ya form four waliingia mtaani baadaye wakajiendeleza.
 
Wewe ni mkabila usiwe hivyo bana basi mimi ni Msukuma wa Mwanza
Mie sio mkabila ila hilo kabila hapana mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uko Arusha mtaa gani?

Umesema una mtoto ulimpata chuoni, ana 8yrs minus yours = 32… chuo gani ulikisoma na 32yrs au ulimpata wakati wa MA?

Mama yake yuko wapi? Zile za amepiga simu anataka kumsalimia mtoto wake zipo au?

Asking for a friend
Naishi Njiro, Arusha. Sikuunganisha chuo nilienda baadae. Mama mtoto yuko Mwanza na mishe zake. Kumsalimia mtoto sio mbaya ni haki yake ila mambo mengine nitakuwa strict sana kwamba asije akachafua hali ya hewa nikiwa na mahusiano mapya.

Ila nitakayempata nitampenda sana nitamheshimu sana na nita msapoti kwa anachopenda kufanya muhimu tu kiwe kitu kizuri na halal. Nimemiss sana penzi nina miaka mitatu siko kwenye mahusiano kweli dah huwezi amini. Niooneni huruma mabinti jamani humu afu umri ndio huo unakimbia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…