[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimemiss sana penzi nina miaka mitatu siko kwenye mahusiano kweli dah huwezi amini. Niooneni huruma mabinti jamani humu afu umri ndio huo unakimbia sana.
Sawa mkuuNaishi Njiro, Arusha. Sikuunganisha chuo nilienda baadae. Mama mtoto yuko Mwanza na mishe zake. Kumsalimia mtoto sio mbaya ni haki yake ila mambo mengine nitakuwa strict sana kwamba asije akachafua hali ya hewa nikiwa na mahusiano mapya. ila nitakayempata nitampenda sana nitamheshimu sana na nita msapoti kwa anachopenda kufanya muhimu tu kiwe kitu kizuri na halal. Nimemiss sana penzi nina miaka mitatu siko kwenye mahusiano kweli dah huwezi amini. Niooneni huruma mabinti jamani humu afu umri ndio huo unakimbia sana.
Njoo tuyajenge mzee mwenzangu...Jambo! Natumaini wote mko salama na Mungu anawapenda sana.
Natafuta rafiki mzuri wa kike maybe ndio atakuwa wangu wa milele nina 40 yrs, niko Arusha kwa sasa napambana nina mtoto mmoja ana miaka nane nilimpata nikiwa chuo. Nikipata mzee mwenzangu itakuwa poa hahaha coz labda tutafanana kwenye priorities sema nimekula bata sana sasa nataka kutulia kuweka mambo sawa na naamini wakati ndio huu naona na mvi zinaanza kwa mbali dah sema bado naonekana handsome boy kwahiyo kama uko tayari nichek DM tuyaweke sawa. Asanteni sana wana JF. Mungu awabariki sana.😎
Ngojaga nize duhoye wang'wise olo ole nsukuma gwanhana.Wewe ni mkabila usiwe hivyo bana basi mimi ni Msukuma wa Mwanza
Mletage na mrejesho.zogo PM tulole ng'wike
Unaukumbuka ule mrejesho wa Sweta la TANZANIAMletage na mrejesho.
Mh.. wachaga hawana chao hapo,Tatizo we mchaga 🤦♀️
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaukumbuka ule mrejesho wa Sweta la TANZANIA
Aiseee 🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna na mwingine pia wa sura pana haitoshi kwa camera.
Njoo kwenye uzi wa pichq za warembo world wide ujichagulie au ule wa kula kimasihara upate mbinuMimi sitanii niko serious kweli naamini mungu atanipa laaziz wa moyo wangu inshallah
Karibu moshono jiraniMimi sitanii niko serious kweli naamini mungu atanipa laaziz wa moyo wangu inshallah