Natafuta mchumba. Very serious

Natafuta mchumba. Very serious

Ben baba

Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
69
Reaction score
34
Mi nna umri wa miaka 30.ni graduate wa shahada ya kwanza na nmejiajiri kwenye project zangu.
Natafuta mchuchu mwenye nia ya dhati tufanye maisha whatsapp me through +255758502366
 
Iv inakuaje had mnahangaika kutafuta wachumba kiasi hicho au kuna vigezo ambavyo mnavitaka ambavyo dunian havipo?...Wanawake wote hawa jaman tena siku hiz hawahitaj hata uwe na maneno mengi..
 
Yeah, wanahitaji uwe na pesa nyingi.
Huyo jamaa anaonekana pesa sio shida sana..si kashasema anaproject zaka anadeal nazo kw iyo hawez kukosa hela za kujikim..hapo mkuu inaonekana domo zege
 
Mkuu ukiwa na kibamia hayo ndo madhara yake...sisi wengine tunawachezea hata hatujui lini watapata waume wa kuwaoa
 
Iv inakuaje had mnahangaika kutafuta wachumba kiasi hicho au kuna vigezo ambavyo mnavitaka ambavyo dunian havipo?...Wanawake wote hawa jaman tena siku hiz hawahitaj hata uwe na maneno mengi..
[emoji13] [emoji13] ataki hao lol
 
Mi nna umri wa miaka 30.ni graduate wa shahada ya kwanza na nmejiajiri kwenye project zangu.
Natafuta mchuchu mwenye nia ya dhati tufanye maisha whatsapp me through +255758502366
Upo "siriazi"
Wawekee warembo hata kapicha iwe mtama kwa watoto.
 
Back
Top Bottom