Natafuta mchumba wa gate kali/mambo safi

MISAPE

Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
68
Reaction score
34
HABARI WANA JF!
MIMI NI KIJANA WA KIUME UMRI 28,NATAFUTA GIRLFRIEND MTOTO WA GATE KALI MAMBO SAFI UMRI 18-25,ELIMU KUANZIA KIDATO CHA NNE CHENYE UFAULU NA KUENDELEA ,SIBAGUI RANGI,DINI WALA KABILA,AWE SERIOUS,AWE TAYARI KUPIMA VVU NA MWENYE MAPENZI YA KWELI,UTANI SITAKI

SIFA NA MAISHA YANGU KWA UFUPI
MIMI MAJI YA KUNDE,MREFU,MWEMBAMBA,SINA MTOTO,MFANYAKAZI AGENCY FULANI YA SERIKALI,PIA NI MWANAFUNZI CHUO FULANI HAPA DAR ES SALAAM NACHUKUA DEGREE YA ENGINEERING,KIUCHUMI KIASI FULANI NAJIWEZA,NIMEPANGA NAISHI PEKE YANGU SINA NYUMBA LAKIN NINA KIWANJA MBEZI MPIGI MAGOE,NINA GARI MOJA NDOGO YA KUTEMBELEA
NARUDIA NIPO SERIOUS UTANI SITAKI MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA,MWENYE SIFA TUWASILIANE KWA PRIVATE SMS OR KWA EMAIL kiss22love@gmail.com kila sms au email itajibiwa
nawasilisha.
 
mmh mapenzi ya siku hizi ya kichina kweli " eti vigezo na masharti kuzingatiwa!!!!!!" haya kila la heri katika searching
 
Duh! Mselaa inaelekea ulikuwa unapiga nyeto kinyama mpaka dushelele inachubuka utafikiri kifuto cha pencel.
Ila usijali ingia hapa ujichagulie vimwana vya wa kufa mtu
cheki totoz
 
Ambao sio mambo safi kazi tunayo..!!

Ngoja nikatafute mlala hoi mwenzangu..!!
 
me nimekupenda ila sasa kwetu sio geti kali nifanyeje
 
HABARI WANA JF!
MIMI NI KIJANA WA KIUME UMRI 28,NATAFUTA GIRLFRIEND MTOTO WA GATE KALI MAMBO SAFI UMRI 18-25,ELIMU KUANZIA KIDATO CHA NNE CHENYE UFAULU NA KUENDELEA ,SIBAGUI RANGI,DINI WALA KABILA,AWE SERIOUS,AWE TAYARI KUPIMA VVU NA MWENYE MAPENZI YA KWELI,UTANI SITAKI

SIFA NA MAISHA YANGU KWA UFUPI
MIMI MAJI YA KUNDE,MREFU,MWEMBAMBA,SINA MTOTO,MFANYAKAZI AGENCY FULANI YA SERIKALI,PIA NI MWANAFUNZI CHUO FULANI HAPA DAR ES SALAAM NACHUKUA DEGREE YA ENGINEERING,KIUCHUMI KIASI FULANI NAJIWEZA,NIMEPANGA NAISHI PEKE YANGU SINA NYUMBA LAKIN NINA KIWANJA MBEZI MPIGI MAGOE,NINA GARI MOJA NDOGO YA KUTEMBELEA
NARUDIA NIPO SERIOUS UTANI SITAKI MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA,MWENYE SIFA TUWASILIANE KWA PRIVATE SMS OR KWA EMAIL kiss22love@gmail.com kila sms au email itajibiwa
nawasilisha.

Maisha yanaenda kasi sana🤣🤣
 
Marioo
122593451_2740797049471953_1777710575627596097_n.jpg

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom