Habari zenu wakuu!
Nimejitokeza kwenu kuhitaji binti ili niweze kumuoa kama tutaendana.
Awe muislamu.
Umri 18-28.
Elimu kuanzia kidato cha 4.
Kuhusu mimi.
Umri wangu miaka 27.
Muajiriwa serikalini.
Elimu shahada.
Yeyote aliyetayari na uhitaji kama nilio nao Mimi, anifate PM tuyajenge.
Makazi mbeya.
Nawasilisha!