Natafuta mchumba wa kike badae tuwe mke na mume

Saoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
441
Reaction score
643
Habari zenu wadau,natafuta mchumba wa kike umri usiozidi 28,vigezo:mimi ni mrefu Mweusi kiasi flani Elimu:Form4 hadi chuo kikuu :Mengine tutamalizana PM

Karibuni Sana
 
Kila La kheri mkuu,ukapate sawa sawa na hitaji lako
 
Back
Top Bottom