Natafuta mchumba wa kike kuanza nae mahusiano

Natafuta mchumba wa kike kuanza nae mahusiano

Joined
Feb 1, 2018
Posts
12
Reaction score
4
Naitwa Junior Mkazi wa DSM nina miaka 27 natafuta mchumba wa kike wa kuanzisha nae mahusiano ya kudumu
SIFA:

1.Awe na umri kuanzia miaka 19-25
2.Awe mweupe au maji ya kunde
3.Asiwe mnene sana wala mwembamba sana
4.Dini yeyote
5.Kabila lolote
6.Awe na nidham pamoja na maadili mema
7.akiwa anafanya kazi itapendeza
mimi ni

1.Mjasirimali mdogomdogo
2.Ni mweupe na si mnene sana
3.Kabla mchaga
Kwa aliye tayari anitafute kwa email ya santosdavid554@yahoo.com
 
Back
Top Bottom