Natafuta Mchumba wa kike, miaka 20 hadi 24

Natafuta Mchumba wa kike, miaka 20 hadi 24

Clemalus

Member
Joined
Dec 23, 2016
Posts
23
Reaction score
30
Habarin za leo wanajukwaa.
Najitokeza hapa nikiwa na nia ya dhati kabisa ya kutafuta mchumba, ambaye tutakua nae kwenye mahusiano na hatimae kuoana na kutengeneza familia yetu.

Nina umri wa miaka 26, naish Dar, elimu yangu ni Degree moja, nimuajiliwa serikalini. Natafuta mchumba wa kike mwenye sifa zifuatazo,
-Mkristo
-umri miaka 20 hadi 24
-awe hajazaa kabla
- awe na Taaluma yoyote, inayomuwezesha kujiajili au kuajiliwa ,aliyohitimu tayar au bado yupo chuo.

Kwa ambaye yupo serious na kuanzisha maisha ya uchumba, karibu PM tuzungumze na tuyajenge.
 
Anza kutembelea ndugu, rafiki wa karibu, majirani na nyumba za Ibada mbali mbali utampata mbora zaidi kuliko hawa wa JF.
 
Back
Top Bottom