Natafuta mchumba wa kike muislamu, mwarabu au shombeshombe wa kiarabu

JONATHAN KAMWAVAH'S

Senior Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
184
Reaction score
24
Aslaam aleyku ndugu zangu waislamu na wanajamii kwa ujumla,Mimi kwa majina naitwa ndugu suleimani Lucas kamwavahs,nilikuwa mkristo miaka kadhaa iliyopita ila kwa sasa in muislamu baada ya kuitambua kweli na haki ya mwenyezi mungu.

Nduguzangu nipo katika jukwaa hili ili kuweza kumtafuta mwenza wa maisha Yang,kwani dini na maneno mwenyezi mungu vinasema ndowa ni jambo la kheri kuliko zinaa,na tuikimbie zinaa kama nabii Yusuf alivyo ikimbia zinaa,namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuniokoa na kunitowa katika njia ya upotevuni,na sasa naijuwa kweli.

Ndugu zangu Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka 29,Nina elimu ya kiwango cha degree (B.A of political siesce and public administration)ni mfanya biashara mdogo na ni mwanasiasa,kwa makabila mama ni mpare,baba ni mnyamwezi kutoka tabora,ninakoishi kwa sasa ni wilaya ya mkuranga iliyoko mkoa wa pwani,ni karibu sana na jiji la dar es salaam.

Mchumba nimtakae awena sifa au vigezo vifuatavyo,awe anampenda mungu na mchamungu,anapenda ibada,mwenye elimu ya dini ya kutosha ya kiislamu,aliye lelewa katika maadili mazuri ya kumcha mungu,awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 26,awe ni mwarabu au shombe shombe(chotara)wa kiarabu,elimu ya darasani si muhimu sana kwangu ila elimu ya dining nice muhimu ili aweze kunisaidia nami kuitabuwa dini vyemwa,akitokea Zanzibar,tanga na pwani itakuwa vizuri zaidi.

Ndugu zangu kuandika tangazo hili humu si kwamba lazima awe mwana forum bali hata akiwa si mwana forum ilimradi tu awe na vigezo,ndugu zangu naomba tusaidiane kwa jambo hili jema na la heri na mwenyezi mungu atawajaalia rehma same.

Ambae yupo tayari na anavigezo tuwasiliane kwa namba 0719450426,pia whatssap kwa namba 0719450426,au email;jonathankamwavahs@gmail.com ndugu zangu angalizo naitaji mchumba ili niowe si mwanamke kwa ajili ya mapenzi.

Ndugu zangu nimeattach baadhi ya picha zangu hapo,mwenyezi mungu atupe wepesi katika jambo hili.
 
Attachments

  • 26f1d468ff0f125c40a700f8b23b92cd.jpg
    26f1d468ff0f125c40a700f8b23b92cd.jpg
    37.1 KB · Views: 913
  • IMG_20141012_155911.jpg
    IMG_20141012_155911.jpg
    740.3 KB · Views: 869
  • 1413010248314.jpg
    1413010248314.jpg
    39.1 KB · Views: 880
  • IMG_20141012_102325.jpg
    IMG_20141012_102325.jpg
    113.4 KB · Views: 811
  • IMG_20141012_092215.jpg
    IMG_20141012_092215.jpg
    338.6 KB · Views: 798
ndgu yangu nakushauri neenda ukamuoe CMM, ili ikashamuoa umfungie ndani asiweze kutoka kabsa .
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Aslaam aleyku ndugu zangu waislamu na wanajamii kwa ujumla,Mimi kwa majina naitwa ndugu suleimani Lucas kamwavahs,nilikuwa mkristo miaka kadhaa iliyopita ila kwa sasa in muislamu baada ya kuitambua kweli na haki ya mwenyezi mungu.
Nduguzangu nipo katika jukwaa hili ili kuweza kumtafuta mwenza wa maisha Yang,kwani dini na maneno mwenyezi mungu vinasema ndowa ni jambo la kheri kuliko zinaa,na tuikimbie zinaa kama nabii Yusuf alivyo ikimbia zinaa,namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuniokoa na kunitowa katika njia ya upotevuni,na sasa naijuwa kweli.
Ndugu zangu Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka 29,Nina elimu ya kiwango cha degree (B.A of political siesce and public administration)ni mfanya biashara mdogo na ni mwanasiasa,kwa makabila mama ni mpare,baba ni mnyamwezi kutoka tabora,ninakoishi kwa sasa ni wilaya ya mkuranga iliyoko mkoa wa pwani,ni karibu sana na jiji la dar es salaam.
Mchumba nimtakae awena sifa au vigezo vifuatavyo,awe anampenda mungu na mchamungu,anapenda ibada,mwenye elimu ya dini ya kutosha ya kiislamu,aliye lelewa katika maadili mazuri ya kumcha mungu,awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 26,awe ni mwarabu au shombe shombe(chotara)wa kiarabu,elimu ya darasani si muhimu sana kwangu ila elimu ya dining nice muhimu ili aweze kunisaidia nami kuitabuwa dini vyemwa,akitokea Zanzibar,tanga na pwani itakuwa vizuri zaidi.
Ndugu zangu kuandika tangazo hili humu si kwamba lazima awe mwana forum bali hata akiwa si mwana forum ilimradi tu awe na vigezo,ndugu zangu naomba tusaidiane kwa jambo hili jema na la heri na mwenyezi mungu atawajaalia rehma same.
Ambae yupo tayari na anavigezo tuwasiliane kwa namba 0719450426,pia whatssap kwa namba 0719450426,au email;jonathankamwavahs@gmail.com ndugu zangu angalizo naitaji mchumba ili niowe si mwanamke kwa ajili ya mapenzi.
Ndugu zangu nimeattach baadhi ya picha zangu hapo,mwenyezi mungu atupe wepesi katika jambo hili.

ni kijana

Kwa maelezo yako, ningeshangaa kama unaeleza ukweli. Hivi Chadema kuna waislam?
 
Wewe umeambiwa waarab au chotara ndiyo wacha mungu?Hapo umebugi,usiombee mfuko uyumbe utachapiwa mpaka ushangae!Nakushauri katafute mke upareni au unyamwezini utapata muislam safi mwenye kuogopa TALAKA
 
Wewe umeambiwa waarab au chotara ndiyo wacha mungu?Hapo umebugi,usiombee mfuko uyumbe utachapiwa mpaka ushangae!Nakushauri katafute mke upareni au unyamwezini utapata muislam safi mwenye kuogopa TALAKA[/ QUOTE] huyo bado atakuwa hamjui mungu na hana elimu ya dini vizuri
 
kwani una majina mangapi? jonathan kamwavahs au ni Lucas K?
 
Hehehe duh! Kila la kheri!
Ila mbona kitu rahisi sana ambiere. Tabora wamejaa tele ni swala la kuongea na wazee na masheikh unataftiwa mke.

Nakumbukaga nilishawahi unganishiwa mburushi wa mbarali, mh nikajishtukia kua ni tamaa tu haikua upendo!
Na wewe kua muangalifu wa tamaa ya kuwa na shombeshombe au kweli ni upendo.
 
Back
Top Bottom