Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,544
- 2,169
Naona Kamanda umeamua ''kujilipua''
Jamaa kajilipua kweli aisee! Ila ushauri wa haraka machotara au waarabu pure wote ni wabaridi mno hutaweza nakuambia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Kamanda umeamua ''kujilipua''
Jamaa kajilipua kweli aisee! Ila ushauri wa haraka machotara au waarabu pure wote ni wabaridi mno hutaweza nakuambia!
Muone mwenyewe mtarajiwa kwani yupo sokoni.Aslaam aleyku ndugu zangu waislamu na wanajamii kwa ujumla,Mimi kwa majina naitwa ndugu suleimani Lucas kamwavahs,nilikuwa mkristo miaka kadhaa iliyopita ila kwa sasa in muislamu baada ya kuitambua kweli na haki ya mwenyezi mungu.
Nduguzangu nipo katika jukwaa hili ili kuweza kumtafuta mwenza wa maisha Yang,kwani dini na maneno mwenyezi mungu vinasema ndowa ni jambo la kheri kuliko zinaa,na tuikimbie zinaa kama nabii Yusuf alivyo ikimbia zinaa,namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuniokoa na kunitowa katika njia ya upotevuni,na sasa naijuwa kweli.
Ndugu zangu Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka 29,Nina elimu ya kiwango cha degree (B.A of political siesce and public administration)ni mfanya biashara mdogo na ni mwanasiasa,kwa makabila mama ni mpare,baba ni mnyamwezi kutoka tabora,ninakoishi kwa sasa ni wilaya ya mkuranga iliyoko mkoa wa pwani,ni karibu sana na jiji la dar es salaam.
Mchumba nimtakae awena sifa au vigezo vifuatavyo,awe anampenda mungu na mchamungu,anapenda ibada,mwenye elimu ya dini ya kutosha ya kiislamu,aliye lelewa katika maadili mazuri ya kumcha mungu,awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 26,awe ni mwarabu au shombe shombe(chotara)wa kiarabu,elimu ya darasani si muhimu sana kwangu ila elimu ya dining nice muhimu ili aweze kunisaidia nami kuitabuwa dini vyemwa,akitokea Zanzibar,tanga na pwani itakuwa vizuri zaidi.
Ndugu zangu kuandika tangazo hili humu si kwamba lazima awe mwana forum bali hata akiwa si mwana forum ilimradi tu awe na vigezo,ndugu zangu naomba tusaidiane kwa jambo hili jema na la heri na mwenyezi mungu atawajaalia rehma same.
Ambae yupo tayari na anavigezo tuwasiliane kwa namba 0719450426,pia whatssap kwa namba 0719450426,au email;jonathankamwavahs@gmail.com ndugu zangu angalizo naitaji mchumba ili niowe si mwanamke kwa ajili ya mapenzi.
Ndugu zangu nimeattach baadhi ya picha zangu hapo,mwenyezi mungu atupe wepesi katika jambo hili.
mkuu @JONATHAN mjaribu huyu hapa mana yuko sokoni ,Kuna umuhimu mchumba mtarajiwa akapitia kwanza red briged ili apate mafunzo ya awali yatayomsaidia kuwa njema wakati wa maandamano. Kila la heri,
ni kijana
Hossam, inaonekana unawaelewa vizuri hao machotara.......ngoja tuone kama ataweza
Yap shapigapiga sana ila nikaona miyeyusho saa hii niko na kitu masai na mtoto mkoja , waarabu sijui chotara ni show tu hamna kitu nakwambia hataweza
Yap shapigapiga sana ila nikaona miyeyusho saa hii niko na kitu masai na mtoto mkoja , waarabu sijui chotara ni show tu hamna kitu nakwambia hataweza
Jamaa kajilipua kweli aisee! Ila ushauri wa haraka machotara au waarabu pure wote ni wabaridi mno hutaweza nakuambia!
Mwambie shekhe wako akutafutie hapo maskitin
Naona Kamanda umeamua ''kujilipua''
Ubachera umenichosha kamanda
Wengi sana
Hii ni kweli sana. Yani inabidi u concentrate kumwangalia sura sana ili upate hisia za kumaliza. Tena ukimzoea ndio eh, anaweza hata kukufanya ufanye mambo ya laana!