Natafuta mchumba wa kike umri kati ya miaka 30 - 35

Natafuta mchumba wa kike umri kati ya miaka 30 - 35

fukujima

Senior Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
109
Reaction score
36
Tafadhali wana JF naomba kusaidiwa kufahamu Kampuni ya uhakika iliyoko Uingereza ambako naweza nunua Gari bila kuwa na Wasiwasi?
 
Umejenga? Unao usafiri wa miguu minne vipi kuhusu chapaa ipo manake sio unatoa tangazo halafu ukute unatafuta hifadhi we subiri watakuja ingekuwa vema engeipeleka mmu huku naona sio mahala pake
 
Dalali nipo, sema gari ya aina gani, bei na shipping jumla unakiasi gani, ili nikutaftie
 
Back
Top Bottom