mjasiliamali14
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 147
- 21
Kara ndio nini mkuu?Wakunga naye pingu za maisha ndio nini au unahitaji mkunga akutahiri kara ya pili ya maisha🤣
Kaka umrio huo siyo wa Mwanamke Kuolewa wengi wanakuwa hawajatest variety za kutosha kwa hiyo ni rahisi kukinai wewe .. Nakushauru usiowe Mwanamke wa Miako hiyo.. Bado sana kuhimili uvumilivu wa changamoto za Familia.kichwa cha habari hapo juu cha husika sibagui dini wala kabira kikubwa mapenzi ya dhati na kuwa tayari kuishi na mm kimaisha na kipato changu ni cha kawaida milo yote mitatu na imudu bila wasiwasi
kwahiyo unamshauri aoe kuanzia miaka mingapi?Kaka umrio huo siyo wa Mwanamke Kuolewa wengi wanakuwa hawajatest variety za kutosha kwa hiyo ni rahisi kukinai wewe .. Nakushauru usiowe Mwanamke wa Miako hiyo.. Bado sana kuhimili uvumilivu wa changamoto za Familia.
Ni ushauri tu lakini
Beeeee