natafuta mchumba wa kike wakunga nae pingu za maisha umri 18-25

mjasiliamali14

Senior Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
147
Reaction score
21
kichwa cha habari hapo juu cha husika sibagui dini wala kabira kikubwa mapenzi ya dhati na kuwa tayari kuishi na mm kimaisha na kipato changu ni cha kawaida milo yote mitatu na imudu bila wasiwasi
 
Tell them about yourself, sio uanze kueleza background yako na elimu.

Waeleze kama una nyumba ngapi, gari ngapi, bank account balance, viwanja, miradi, mashamba n.k..

Huo ndio wasifu mzuri wa kupata mke chap chap
 
Wakunga naye pingu za maisha ndio nini au unahitaji mkunga akutahiri kara ya pili ya maisha🤣
 
kichwa cha habari hapo juu cha husika sibagui dini wala kabira kikubwa mapenzi ya dhati na kuwa tayari kuishi na mm kimaisha na kipato changu ni cha kawaida milo yote mitatu na imudu bila wasiwasi
Kaka umrio huo siyo wa Mwanamke Kuolewa wengi wanakuwa hawajatest variety za kutosha kwa hiyo ni rahisi kukinai wewe .. Nakushauru usiowe Mwanamke wa Miako hiyo.. Bado sana kuhimili uvumilivu wa changamoto za Familia.

Ni ushauri tu lakini
 
kwahiyo unamshauri aoe kuanzia miaka mingapi?
 
Peleka Uzi M.M.U "love connect"

huku chit chat utapata majibu ya kikonki konki konki master
 
Back
Top Bottom