Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nimeamua rasmi kutafuta mchumba na kuoa ikimpendeza Mungu baada ya pilika pilika nyingi za masomo, mimi tayari nimeshaajiriwa government. Naweza nikasimama kama baba.
Napenda nimpate mchumba mwenye sifa zifuatazo; elimu kuanzia form 4 na kuendelea japo mimi nina degree mbili, mkristo, umri 25_30, sio mlevi na ambaye hatumii madawa ya kulevya, mpenda maendeleo.
Aliye tayari ani PM pia aweke mawasiliano yake.