Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,155
Reaction score
1,209
Mimi ni kijana wa miaka 26 ni muhitimu wa chuo, nimejiajiri natafuta msichana aliyeserious katika mahusiano,

Vigezo. mcha mungu, bila kujali ni msichana au single mother ili mradi awe mcha mungu, karibu PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom