Daud Johnson
Member
- Apr 9, 2018
- 41
- 14
Habari zenu wana jukwaa, mimi ni kijana wa kiume, makazi yangu ni dar es salaam maeneo ya chanika
Lengo na dhumuni kuja mbele yenu nahitaji binti ambaye yuko tayari kuingia katika mahusiani nami ya uchumba hatimaye ndoa
Wasifu wangu ni kama ifuatavyo,
Dini: mkristo
Umr: 28
Elimu: diploma holder
Kazi: business man
Sifa zangu,
. Napenda kazi & kujituma na ndio maana nimejiajiri.
. Ni msafi na ninapenda usafi.
. Ni mcheshi
. Napenda kujifunza kupitia watu wengine nk.
SIFA ZAKE,
. Awe mcha Mungu
. Awe mwenye bidii katika kazi na utafutaji kwa ujumla
. Asiwe na kiburi
. Awe mcheshi
. Akiwa ni mwalimu kitaaluma itapendeza zaidi hata kama hana ajira
Nawasilisha kwa yeyote mwenye nia ya dhati na sifa hizo.
#Do the best and God will do the rest...