Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

Daud Johnson

Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
41
Reaction score
14
Habari zenu wana jukwaa, mimi ni kijana wa kiume, makazi yangu ni dar es salaam maeneo ya chanika

Lengo na dhumuni kuja mbele yenu nahitaji binti ambaye yuko tayari kuingia katika mahusiani nami ya uchumba hatimaye ndoa

Wasifu wangu ni kama ifuatavyo,
Dini: mkristo
Umr: 28
Elimu: diploma holder
Kazi: business man

Sifa zangu,
. Napenda kazi & kujituma na ndio maana nimejiajiri.

. Ni msafi na ninapenda usafi.

. Ni mcheshi

. Napenda kujifunza kupitia watu wengine nk.

SIFA ZAKE,
. Awe mcha Mungu
. Awe mwenye bidii katika kazi na utafutaji kwa ujumla
. Asiwe na kiburi
. Awe mcheshi
. Akiwa ni mwalimu kitaaluma itapendeza zaidi hata kama hana ajira

Nawasilisha kwa yeyote mwenye nia ya dhati na sifa hizo.

#Do the best and God will do the rest...
 
Changamka wewe kijana..mtaani umekosa hadi uje huku??
 
Sijashindwa mkuu ila kizuri kinatafutwa, that's why niko hapa
Mkuu unatafuta mke kama unatafuta bidhaa!!! Hebu fanya kuzunguka zunguka bhn,huwezi ukakosa kabisa atayekuvutia. Ukikosa kabisa, hebu zama mbwinde kidogo
, utapata vibinti vizuri tu utajichagulia wakuoa
 
Mkuu,humu hata ukipata atakuwa mdangaji tu,,,tafuta hapo mtaani kwenu au rudi kijijini kwenu watakushobokea wengi tu then pick one to keep pace with
 
Habari zenu wana jukwaa, mimi ni kijana wa kiume, makazi yangu ni dar es salaam maeneo ya chanika

Lengo na dhumuni kuja mbele yenu nahitaji binti ambaye yuko tayari kuingia katika mahusiani nami ya uchumba hatimaye ndoa

Wasifu wangu ni kama ifuatavyo,
Dini: mkristo
Umr: 28
Elimu: diploma holder
Kazi: business man

Sifa zangu,
. Napenda kazi & kujituma na ndio maana nimejiajiri.

. Ni msafi na ninapenda usafi.

. Ni mcheshi

. Napenda kujifunza kupitia watu wengine nk.

SIFA ZAKE,
. Awe mcha Mungu
. Awe mwenye bidii katika kazi na utafutaji kwa ujumla
. Asiwe na kiburi
. Awe mcheshi
. Akiwa ni mwalimu kitaaluma itapendeza zaidi hata kama hana ajira

Nawasilisha kwa yeyote mwenye nia ya dhati na sifa hizo.

#Do the best and God will do the rest...
Mkuu huku unapotea,nenda kanisani,mtaani,kijijini au ktk ofisi mbalimbali utampata tu,huku utaumia.
 
Back
Top Bottom