Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

Wewe unaanza kutoa siri khaaa. Hayo mambo usiyaseme mama. We mwambie una chura. Na ni mwimba kwaya mzuri.

Heiti ya urefu sio haba...
Hahaaa,unataka siku akija kuniona sina huyo chura anipe kibuti papo hapo eeh😀, bora nimwambie ukweli mapema ,sina chura, sina sauti ya kwaya, cheusi tii
 
Back
Top Bottom