Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

John poul

New Member
Joined
Sep 24, 2022
Posts
4
Reaction score
9
Mimi ni mwanaume umri 37 ni mwl natafuta mschana awe anajipenda na kujiheshimu nipo Dar es salaam 0689104184 siyo uchumba kuoa
 

Attachments

  • 20220920_101848~2.jpg
    20220920_101848~2.jpg
    515.7 KB · Views: 30
Haya Wale wanaotafuta Waume, Mwl John huyo Kajitosa Na Picha Kbs.....mshinde Wenyewe.
 
Teacher kajilipua [emoji23][emoji23] daah! ni maamuzi magumu ila umetisha kwa huo ujasiri ngoja waje wakukule kimasikhara madem wa jf

Bora umeachana na papuch mnato za school wenzako wanakula mvua tu za miaka 30
🤣🤣🤣🤣🤣

Miaka thete mingi aisee.
 
Kama kweli hii ni picha yako (isijekua mbaya wako kaamua kukudhaliliaha mitandaoni) basi Mwl wewe una mental issue!
 
Nakubali ticha,hapo umeonekana fresh tu ila kwa hizi pisi ambazo zinafanya maombi kila siku wanatafuta mwenza ndo wakati sahihi kwa ticha.ila atakuja slei kwini mmoja atasema "ticha mwenyewe mbona kakaa,me nilitaka asimame"[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom