Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

we unalima mihogo halafu unatafuta mke wa pili hujionei huruma

Najihurumia that's why natafuta msaidizi.
Nina miliki shamba la ukubwa wa hkt 73.
Natarajia by june kupiga 800,000 ea hkx70=?????????
Teh teh teh teh.
Tena nataka anayejua hesabu.
 
Tehe tehe kweeeeeli tunapishana mitizamo ila hongera mkuu kwa kipato chako kuongezeka
 
Toka lini mznz ajua kulima mihogo

Inamaana hata kupanga mabunda ya noti itakua shida?
We madameX ebu njoo tutengeneze family yenye nguvu kiuchumi.
Tena nataka niongeze shamba lifike heka 200.
 
Come on mammy put ur body in motion........ur gotta niger open.....all my lady come on.
Bado wajua na kurap mkuu? Ngoja basi nikumalizie hiki kipengele

If you are here with heart to cheat you need to to get a life....
 
Back
Top Bottom