Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

KIGAN

New Member
Joined
May 29, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25-38. Ni muajiriwa wa serikali, umbo langu saiz tu si mrefu sana wala si mfupi sana, ni mweusi kidogo. Natafuta mchumba ili baadae tufunge ndoa. Awe na uwezo wa kuishi popote. Asitumie pombe wala sigara, hata akiwa na mtoto. Ili kuonesha msisitizo namba zangu ni 0773291168.
 
Hongera sana kwa kutokupenda U-Cameron.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25-38. Ni muajiriwa wa serikali, umbo langu saiz tu si mrefu sana wala si mfupi sana, ni mweusi kidogo. Natafuta mchumba ili baadae tufunge ndoa. Awe na uwezo wa kuishi popote. Asitumie pombe wala sigara, hata akiwa na mtoto. Ili kuonesha msisitizo namba zangu ni 0773291168.
 
Weka umri wako bayana, hivi kuna mtu ana umri in between, u r not serious.
 
Umri wangu ni miaka 29 kipi chengine nieke bayana
 
Back
Top Bottom