Natafuta mchumba wa kiume

Sifanyi masihara ila nasema kweli, kwa umri huo tayari ni doa ktk maisha ya ndoa, utakutana na waliochelewa wenzako aidha ktk kusoma au ukapera nao wanatafuta pakutua mzigo wao, wote mtakuwa mnataka kutimiza maandioko tu ila kutoka ndani ya mioyo mtakuwa mnahadaana. Umejitahidi sana kusoma na kuwa na kazi nzuri ila umechelewa kutafuta mwenza. Mungu akusaidie lakini.
 
..haha!nipo hapa dada vigezo nnavyo ila elimu ndo sina ya juu kama wewe🙁
 
Tukutane PM ila sina hakika Kama ni serious
 
Huyu dada mbona mnasema ana umri mkubwa wakati bado ni binti mbichi kabisa.
 
pepo la uzinzi bado unalitetea! ukiokoka na kumwamini Mungu, uyo mchumba atakufuata mwenyewe lakini wewe unalazimisha kwa mapenzi yako! kiukweli Mungu hausiki hapa! labda uyo mungu wa dunia hii!
 
Haina haja kutafuta mchumba kwenye mitandao nikujizalilisha
NImeshapata my dear tena handsome na msomi. Weee kaa hivyo hivyo usubiri mungu akuletee bila kufanya efforts
 
"]pepo la uzinzi bado unalitetea! ukiokoka na kumwamini Mungu, uyo mchumba atakufuata mwenyewe lakini wewe unalazimisha kwa mapenzi yako! kiukweli Mungu hausiki hapa! labda uyo mungu wa dunia hii![/QUOTE]
Jamani mchumba nimepata na had
 
Nshapata
 
Lazima utakua teenager
 
kuna ndugu yangu nae anatafuta mke sijui niwakutanishe vipi ili mkubaliane
 
Ur very wrong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…