Natafuta mchumba wa kiume

Natafuta mchumba wa kiume

Habari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na kuendelea. Awe na kipato. Awe tayari kusaidiana maisha. Nipo serious mno sihitaji masihara.
Kutokana na kutofautiana kimtazamo humu jamvini jiandae kupokea comments na majibu ya aina zote[emoji87]
 
Maisha haya ya Mh Magu lazima ndoa itakuwa na thamani.

Mmekaa nyumba ndogo miaka yote leo ndio mnaona umuhimu wa mume sindio?

Baada ya wawezeshaji wafujaji wa mali za Umma kuzibiwa mirija.

Miaka 34 muda wote ulikuwa wapi?

Kwa speed hiyo ya miaka 34 nakushauli tafuta mtu anaejielewa, hizo sifa zitoe kabisa.
 
Mkuu it's not my words ni maneno ya Mungu anayeishi and He is never wrong. Huyu Dada alikuja PM kweli na nilimshauri japo sitaki kumsemea but may God have mercy on Her
pamoja sana kiongozi, unafanya vizuri kumshauri asije akarudia the same mistake she did. Mungu akubariki sana
 
Mh kaka! May the Lord have mercy on all of us. Unanionea huruma? ? Should know me better. Sistahili such cheap sympathy. May God have mercy on all of us
 
Which mistake? Hivi mbona mnajifanya mnajua nafsi na undani wa binadamu?
 
Maisha haya ya Mh Magu lazima ndoa itakuwa na thamani.

Mmekaa nyumba ndogo miaka yote leo ndio mnaona umuhimu wa mume sindio?

Baada ya wawezeshaji wafujaji wa mali za Umma kuzibiwa mirija.

Miaka 34 muda wote ulikuwa wapi?

Kwa speed hiyo ya miaka 34 nakushauli tafuta mtu anaejielewa, hizo sifa zitoe kabisa.
Nilikua nanyonya mboo yako
 
Mh kaka! May the Lord have mercy on all of us. Unanionea huruma? ? Should know me better. Sistahili such cheap sympathy. May God have mercy on all of us
Am sorry Dada Ayanda kama nimekukwaza kwa hilo and you are right may the Lord have mercy on us all starting with me. Sikuwa na lengo la kukukwaza wala kukudharau am Sorry. God bless you by the way and I hope unaendelea vizuri
 
Ayanda .. Usikatishwe tamaa na maneno .. Safari ni safari na inaanzia umri wowote.

Kuna wanaume wengi wenye umri kama huo na wadada wenye umri kama huo bado hawajaoa au kuolewa.

Nafikiri ungeanza na hatua ya kwanza kutafuta mwanaume wa mahusiano , halafu mengine yatafatia.. Kama ndoa nyingine zilizoanza yalikuwa mahusiano, mapenzi, kazi nk mwisho ikawa ndoa. Safari moja huanzisha nyingine...
Kila la kheri wapo hata humu humu.... lakini ujue kuwapambanua .
 
Uzi naona umerudishwa na wazee wa kufukua makaburilaiti kama mleta mada angelizingatia baadhi ya shauri humu asingelikuwa njia panda sasa...
 
Habari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na kuendelea. Awe na kipato. Awe tayari kusaidiana maisha. Nipo serious mno sihitaji masihara.
Una watoto wangapi tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom