Mukwano jebaleko
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 402
- 214
Kutokana na kutofautiana kimtazamo humu jamvini jiandae kupokea comments na majibu ya aina zote[emoji87]Habari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na kuendelea. Awe na kipato. Awe tayari kusaidiana maisha. Nipo serious mno sihitaji masihara.