Natafuta mchumba wa kiume

unajua mtu unaweza ukawa umeenda age but hekima huna.we dada ulikua unalalamika unataka divorse sababu hamna hisia na mwanaume wako,yani hata mkigusana kitandani ni kama mama na mwanae.sasa ilikua ndoa ya kikristo ambayo mnafanya agano la viapo pale mbele ya madhabahu ni kifo kitawatenganisha...sasa tatizo lililotokea kwenye ndoa yako mi kukosa affection ni hili huwakumba wengi kwenye ndoa na pia linaondoka wa kuombea ndoa yako kila siku na mmeo.kwani hili mda mwingne hata shetani analisababisha makusudi ili tu mtengane na kumchukiza mungu.hayo yote yametokea sabb wewe kama mwanamke hukushika jukumu lako la kuombea ndoa yako ndo mana hata mumeo alitokea kupata feelings na wanawake wengine na kuzini nao na kukuona si lolote hadi anakusema kwa wanawake zake jua tu ni shetani na strategy zake kuimaliza ndoa yenu.nawe hukumuomba mungu akusaidie na kuamua kufuata akili zako tu leo uko wapi.ndoa si kitu rahisi kwani ukiingia unakutwa na mashambuliz kibao toka kwa shetan.usiwaone watu wamedumu zaid ya miaka kumi wamepitia mengi na unapokutana na shambulizi tumoa silaha ya maombi kulikabili kwani kulikimbia sio suluhu.hata huyo mwanaume uliempata nae utakutana na mengi na kusema afadhali yule wanyuma.na pia hata nae mkioana bado mnazini tu .na yule ex wako pia akioa hivohivo!
we kila quote "tumsifu yesu kristu" wakati kuenenda properly as a christian woman hujui.jifunze na ubadilike
 
Haupaswi kujikuna, upele anaowashwa mwenzio. Ukinyamaza umemsaidia, kuliko kuongea Pumba. Asante
 
Umekimbilia kunihukumu wakati hujui my current status.
 
Umekimbilia kunihukumu wakati hujui my current status.
Mama hajakuhumu amekueleza ukweli na ukweli unakuuma na ndio maana umekimbilia kusema hajui status uliyokuwa Nayo. Hapo amesema ulipokuwa mke hukusimama maombini na kama ulisimama kwa maombi usingefikiria kuja hapa kutafuta tena kile ulichokiacha (mume) . Binafsi nimemuelewa maana kila kitu ametoa kwa maandiko takatifu . Labda kama hukumuelewa ungemuuliza tuu kuliko kujihami
 
watu watakubezi,huku wanataka...usiwasikilize dharau zao....

kingine usiache kazi yako nzuri ukaenda ulaya ,utajuta,unless mmepanga na huyo mchumba mambo ya kueleweka
 
 
Congrats to you Ms Ayanda
 

Umefanikiwa?
 
The older you get, the less you speak. Ukikua utapunguza wingi wa maneno kinywani mwako.
Those wise words written above really reveal how Ayanda really is ......... [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Nipo hapa ushapata tulip la moyo wako na wangu,detail zaidi ni PM
 
Acha ayanda aishi awezavyo.amejieleza sana wakati wote unaleta habari za neno la mungu neno la mungu wakati mwingine tutumie na akili zetu.walio weka taraka sio wajinga izo habari za ndoa mpaka kufa sijui nini kuna wakati huwa zina fail mm naona ayanda yuko sawa ndoa nyingi ni matatizo tu watu wanaishi ili mradi tu na kwa kuogola neno la mungu sasa iyo sio ndoa ni dhambi kubwa kwa mungu
 
Ujana wako umekula na nani uje kuwa serious mno uzeeni???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…