Natafuta mchumba wa kiume

Yes ndoa hufungwa na mungu na mungu tu ndie hutenganisha si binadamu. ...believe me tumetenganishwa na mungu. Tumsifu yesu kristu
Kwa Huyo we ni mjane?
 
Kwenye send off yako usisahau pia kutupatia taarifa na mwaliko
 
Mshikaji una maneno mazuri sana ya kutia moyo, kufundisha na kusaidia lkn yananipa wasiwasi km kweli una nia ya kumsaidia huyu dada au kuna kingine zaidi unakitafuta maana yeye kasema kakuelewa na atakuja pm but still u insist on ur words. Ok msaidie tu dada wa watu
 
Mchumba utampata Tu sio lazma humu nina shangaz yangu kaolewa mwez uliopita ana 34 yrs ila mchumba hajampata Jamii Forums so wale unaokutana nao huko kitaan atakuwepo Tu mchumba
 
Watu kama nyie ni watu mnaojifunza toka kwa walioshindwa na kukata tamaa, kuolewa hakuna umri
jamani hebu msaidieni huyu mtu inaonekana hili jambo linamtatiza
 

Mkuu it's not my words ni maneno ya Mungu anayeishi and He is never wrong. Huyu Dada alikuja PM kweli na nilimshauri japo sitaki kumsemea but may God have mercy on Her
 
Una mtoto..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…