Natafuta mchumba wa kiume

Natafuta mchumba wa kiume

Habari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na kuendelea. Awe na kipato. Awe tayari kusaidiana maisha. Nipo serious mno sihitaji masihara.
ngoja nihamie dodoma kwanza, nitakutafuta
 
Yes ndoa hufungwa na mungu na mungu tu ndie hutenganisha si binadamu. ...believe me tumetenganishwa na mungu. Tumsifu yesu kristu
Kwa andiko lipi??? Mungu ndiye alisema kifo tu ndicho kitakachowatenganisha. Kama ni kifo hapo sawa otherwise hutofanikiwa kwakuwa uko kinyume na Maagizo na mapenzi ya Mungu. Watchout
 
Miaka 34 ulikua unasubiria nini?? Ok haoa kwa huo umri utakua bi mdogo wa wenye vipato make haina namna

Ushauri tafuta mtoto wa masikini kwenye hizo taasisi za elimu umuoe wewe na siyo yeye akuoee

Kwa umri huo piga ua kupata wa sazi yako mjukuu wangu utakesha, huo umri uliouta wa miaka 34 na kuendelea wanadili na wasichana wa 18 mpaka 24
The older you get, the less you speak. Ukikua utapunguza wingi wa maneno kinywani mwako.
 
Kwa andiko lipi??? Mungu ndiye alisema kifo tu ndicho kitakachowatenganisha. Kama ni kifo hapo sawa otherwise hutofanikiwa kwakuwa uko kinyume na Maagizo na mapenzi ya Mungu. Watchout
Uko sahihi kwa 100%.
 
Uko sahihi kwa 100%.
Angalia sana. Kama ulimuacha mumeo that demon will hunt you Down to dearth and daily things will get worse. (Kumbuka kuanzia ulivyokuwa unatukana members hapa JF ukiwatambia kuwa unacheat na mke wa mtu na huhitaji mume bali tu kuacahan na mumeo but umerudi pale pale tena kutafuta mume mwingine). Do you think it's you?? Mungu hajipingi hata siku moja you will never find relief until you repent. Mark those words

You better repent or you will Perish.
 
Yani nakubaliana na wewe 100% tatizo hujui yaliyojiri ndo maana unaongea hivyo. Ningekua na mume wangu nisingetafuta mwanaume halafu kipindi kile nilikua nina stress tu na ndo mana nilifanya uchafu wote ule. Kwasasa nimejifunza mengi. Sitoweka hadharani. Nitayaongea na yule mungu atakayenionyesha. Lakini ukweli ni kwamba ukiacha mke au mume wa ujanani wallah hubaki salama.
 
Ninaumizwa na hali yako anyway japokuwa sitafuti mke lakini waonaje ukinidokeza walau kwa PM nitakuwa na uelewa I don't mean to offend you but I have enmity with the devil that disrupts people's marriages.
 
Habari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na kuendelea. Awe na kipato. Awe tayari kusaidiana maisha. Nipo serious mno sihitaji masihara.
 
D
Ninaumizwa na hali yako anyway japokuwa sitafuti mke lakini waonaje ukinidokeza walau kwa PM nitakuwa na uelewa I don't mean to offend you but I have enmity with the devil that disrupts people's marriages.
Devil alishadesrupt na yameshatimia. Now am moving foward with life. Kaka nashukuru mno kwa uelewa wako lakin nipo vizuri. I have learnt to remain put so pliz nachokitafuta nakijua and I believe watu wanaweza kutana popote pale. Mungu anaweza nikutanisha na mtu popote pale. Besides hata nisipopata nitapata marafiki which is also a positive item. Thank you very much for your concern and I get you
 
Let me tell you one thing. Always the devil is a liar and the devil never wins. Hajawahi kashinda na hatokaa ashinde. If you real believe the word of God to be true nothing can stand before God. But also remember God can't help you until you return to His word. Think about it vinginevyo I am telling you baada ya muda utarudi hapa na jipya au hata usipolileta hapa litakuibukia jipya and it won't work rather it will be worse because somewhere something is wrong. It's bitter but it's the truth however. Mungu hajipingi hata kidogo ni kifo tu kitawatenganisha that's it. Kama Shetani aliitembelea Ile halali na mka give up akafanikiwa vipi hii ambayo iko kinyume na Mungu si maradufu? Think about it.

May God speak to your soul today
 
Yani my dear brother unaongea mambo ya msingi sana na in fact wengine wajifunze pia. I have learnt that marriage is a very serious covenant Yani ni agano kubwa kuliko. Na it's only kifo kinachotenganisha mume Na mke. Been there and trust me I have learnt about marriage and life the hard way. Kama bado hujanielewa situation yangu basi sijui nisemaje sababu siwezi weka mambo yangu hadharani
Huwezi jua naweza pata mchumba hapa halafu itakua si busara kufunguka private issues mbele ya kadamnasi
Am a big girl now. Nitamuelezea yule ambaye atakua wangu kama mungu ataruhusu kama mungu hatonipa mchumba hapa basi I will remain put. Asante
 
Call me 0719578734
Sorry I can't call you. Am not desperate. Haihitaji PhD kujua kwamba unaleta masihara. Tafadhali naomba ukae pembeni for this is not your place. Asante lakini
 
Yani my dear brother unaongea mambo ya msingi sana na in fact wengine wajifunze pia. I have learnt that marriage is a very serious covenant Yani ni agano kubwa kuliko. Na it's only kifo kinachotenganisha mume Na mke. Been there and trust me I have learnt about marriage and life the hard way. Kama bado hujanielewa situation yangu basi sijui nisemaje sababu siwezi weka mambo yangu hadharani
Huwezi jua naweza pata mchumba hapa halafu itakua si busara kufunguka private issues mbele ya kadamnasi
Am a big girl now. Nitamuelezea yule ambaye atakua wangu kama mungu ataruhusu kama mungu hatonipa mchumba hapa basi I will remain put. Asante
That Covenant haivunjwi mpaka kifo. Either way you have learnt be it hard or simple there is only one way and Jesus is the way. And trust me hayo mawazo uliyonayo still is that very same demon hunting you and it will never stop till it kills you. Neno la Mungu halibadiliki kamwe. Mind you you are out of his word there is nothing safe left for you. Nieleze kwa PM it might save you alot.
 
Am saved already. Uliyosema ni 100% true. Hivi kweli hujanielewa? ?? Nitakuchek chemba. Nimependa busara yako. Yani hili jukwaa lingekua na watu design yako wengi wangenufaika
 
Back
Top Bottom