Natafuta mchumba wa kiume

Natafuta mchumba wa kiume

Pole sana kwa maisha ya sasa hivi sijui kama kuna waoaji tena tusubiri miaka kumi ya brother magu ndio tutayajenga upya kwa sasa tafuta wa kugegedua tu
 
Kwa andiko lipi??? Mungu ndiye alisema kifo tu ndicho kitakachowatenganisha. Kama ni kifo hapo sawa otherwise hutofanikiwa kwakuwa uko kinyume na Maagizo na mapenzi ya Mungu. Watchout

Kwakumsaidia dada ayanda mungu anasema watu washing kwa wema ikibidi waachane kwa wema,kama wameachana kwa wema hakuna tatzo ijapo mungu hapendi watu waachane
 
Pole sana kwa maisha ya sasa hivi sijui kama kuna waoaji tena tusubiri miaka kumi ya brother magu ndio tutayajenga upya kwa sasa tafuta wa kugegedua tu
Hapo Yesu akamgeukia Petro na kumwambia "NENDA ZAKO SHETANI "
 
Tatzo mkiwa bado mabinti huwa mnaringa sana mpka mnajitia mkosi kwani wanaume hunung'unika juu yenu kwa kuwakataa...sasa mkifikaga ktk POINT OF NO RETURN mnakumbwa na masaibu kama haya
 
Am saved already. Uliyosema ni 100% true. Hivi kweli hujanielewa? ?? Nitakuchek chemba. Nimependa busara yako. Yani hili jukwaa lingekua na watu design yako wengi wangenufaika
If you are really and truly saved it is time for you to pray and fast for your Husband na sio kutafuta mwingine. There is no excuse isipokuwa kifo so watch out unasema you are saved huku unatafuta mume mwingine?? That is adultery my sister despite of your reasons or excuses the word of God doesn't change it is still there ni Kifo tu Dada yangu cha kuwatenga. Fikiria sana kabla hujachuma janga lingine
 
Mmmh pouwa samahani sana kama unahisi naleta masihara, ila yawezekana ndo nipo serious kuliko unaowaona wapo serious, ila inawezekana bado wakati wng
 
Umeshapewa talaka yako? Maana juzi juzi hapa ulikuja na Uzi wako kuwa unafikiria talaka.

Kama ulipewa talaka. Je ni nini sababu ya kupewa talaka?

Unaemtaka sahivi mkija kufunga ndoa hautaomba talaka tena?
 
Tatzo mkiwa bado mabinti huwa mnaringa xana mpka mnajitia mkosi kwani wanaume hunung'unika juu yenu kwa kuwakataa...sasa mkifikaga ktk POINT OF NO RETERN mnakumbwa na masaibu kama haya
RETERN=RETURN

Xana= sana
 
Back
Top Bottom