nipo serious ila nina miaka 25mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarin elimu yangu ni degree moja.mkristo naishi moro.natafuta mchumba mwenye sifa hz,,awe mkristo mcha mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. umri kuanzia miaka 28 mpaka 38,plz kwa aliye serious tu.karib pm
mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarin elimu yangu ni degree moja.mkristo naishi moro.natafuta mchumba mwenye sifa hz,,awe mkristo mcha mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. umri kuanzia miaka 28 mpaka 38,plz kwa aliye serious tu.karib pm
Elimu ndo inaolewa au inaoa?mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarin elimu yangu ni degree moja.mkristo naishi moro.natafuta mchumba mwenye sifa hz,,awe mkristo mcha mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. umri kuanzia miaka 28 mpaka 38,plz kwa aliye serious tu.karib pm
Ulishahama musoma?mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarin elimu yangu ni degree moja.mkristo naishi moro.natafuta mchumba mwenye sifa hz,,awe mkristo mcha mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. umri kuanzia miaka 28 mpaka 38,plz kwa aliye serious tu.karib pm
Mkuu Tutor B ,Kuna kitu kinaitwa comparability ambacho ni cha msingi kuzingatiwa.elimu na hofu ya Mungu inaafect individual understanding, character formation,understanding na reasoning.Vigezo alivyotaja vyote vinaonyesha anajitambua....je una uhakika gani kumhukumu kuwa vigezo vyake havijatokana na "mlango wa sits"Elimu ndo inaolewa au inaoa?
Omba Mungu akupatie mume mwema, hatopatikana kwa vigezo ulivyovitaja, atapatikana kwa kutumia vyema milango yako ya fahamu mitano; hapo ndo mlango wa sita utakapofunguka na kuona yale yasiyoonekana kwa macho ya kawaida.
Mkuu Kama angempata mwanaume anaemfaa hangerudi hapa.Namuombea Mungu apate nione nyuso zenu mnaombeza mtazificha wapi.Tatizo lenu hamrejeshi mlicho kipata huko pm May 10 2014 ulileta uzi hapa ukitafuta mwanaume ukiwa 25years, ulipata au??
Nakuja matrenmimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarin elimu yangu ni degree moja.mkristo naishi moro.natafuta mchumba mwenye sifa hz,,awe mkristo mcha mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. umri kuanzia miaka 28 mpaka 38,plz kwa aliye serious tu.karib pm