Natafuta mchumba wa kiume

Natafuta mchumba wa kiume

Daah! Watu tumetia kambi kwenye thread ya dada wa watu!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
Toa mrejesho!
 
Mkuu Tutor B ,Kuna kitu kinaitwa comparability ambacho ni cha msingi kuzingatiwa.elimu na hofu ya Mungu inaafect individual understanding, character formation,understanding na reasoning.Vigezo alivyotaja vyote vinaonyesha anajitambua....je una uhakika gani kumhukumu kuwa vigezo vyake havijatokana na "mlango wa sits"
Nahisi hujanielewa vyema mkuu, mke / mume mwema hutokana na Bwana, hatokani na elimu.
 
Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
Nipo
 
njoo kwang
 
Back
Top Bottom