Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ukiamua kujilipua katika hili suala,itabidi mtoto apelekwe bweni (shule) ili kuepusha msongamano.Ndugu yangu haya mambo bana.
Uko na mkeo mmetulia mtu anaanza mara kuongea ongea kwenye simu ukiuliza unaambiwa ni baba wa mtoto. Mara anaanza kuja na kwako kumuangalia mwanae. Utamfukuza?