Natafuta mchumba wa kiume

Elimu yako dada ipoje na unajishughulisha na nini
 
Vip utasomesha mtoto
Kusomesha mtoto ni mtihani mkuu;hujawai kujiuliza swali,kwa nini simba dume akivamia mji wa dume mwenzake hupigana na kumfukuza,na baada ya hapo uamua kuua wale watoto wa dume la zamani,na kuanza uzao mpya na yule jike?
 
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
Ambaye ameshajenga au anayeishi nyumba ya kupanga?

Naomba muongozo tafadhali
 
Kwa nilivyoona watu huwa hawaamini mtu awapo na shida. Most of us hatuna kazi za maana sema kelele tupu. Mdada yuko serious anataka ndoa sema watu hatujui namna anavyofeel.
MUHIMU KWENU NI KWAMBA KUWENI MAKINI SANA.
HAKIKISHA UMEPATA TAARIFA ZAKE KWA USAHIHI.
 
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
hapo kwenyte mtoto hapo patakimbiza wengi, au wengi watakuja kukuchezea.
 
Ila wanawake bwana unataka mchapakazi wakati wewe hujatuambia unafanya nini hapa duniani ili kukuwezesha kuishi.
ha ha ha wengine bado wanamtazamo wa kizamani akiamini ile huduma ndio ajira yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…