Wewe dada mimi nakuombea na nimekubali kweli wewe unataka serious relationship sio wadada wanakujaga apa wanamaneno yao utasikia sijui awe educated na awe anajua kingereza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kingereza kitaweka chakula mezani ? Mimi huwa nna kauli yangu moja nawaambiaga strangers, and this has been my all time PICKUP LINE KWA MTU YEYOTE YULE AMBAYE SIMJUI AND IT WORKS 90% " Sio kila mtu utakaefahamiana nae lazima awe amezaliwa ulipo zaliwa wewe au ulipoish wewe na ndio mjuane na muanze kudate kuna namna nyingi sana ya kujuana, which means unaweza kudate na mtu yeyote uliekutana nae kivyovyote na relationship ikafanya kazi, kinachohitajika ni upendo na heshima" So basically what I am trying to say is that, I understand you and i wish you the best of luck....Kwa umri wako utakuwa umekwepa mikuki ya kutosha kwahiyo itakuwa rahis kuwa identify matapeli...