Natafuta mchumba wa kiume

Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
Baba mtoto alishakufa...???
 
Harusi ya Jumamosi hii ilikuuma nini?
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
 
Mrembo kakubali wahenga tushaelewa zama nae pm mkayajenge unataka akubali jukwaa mkuu unaniangusha[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe dada mimi nakuombea na nimekubali kweli wewe unataka serious relationship sio wadada wanakujaga apa wanamaneno yao utasikia sijui awe educated na awe anajua kingereza 🤣🤣🤣🤣🤣, kingereza kitaweka chakula mezani ? Mimi huwa nna kauli yangu moja nawaambiaga strangers, and this has been my all time PICKUP LINE KWA MTU YEYOTE YULE AMBAYE SIMJUI AND IT WORKS 90% " Sio kila mtu utakaefahamiana nae lazima awe amezaliwa ulipo zaliwa wewe au ulipoish wewe na ndio mjuane na muanze kudate kuna namna nyingi sana ya kujuana, which means unaweza kudate na mtu yeyote uliekutana nae kivyovyote na relationship ikafanya kazi, kinachohitajika ni upendo na heshima" So basically what I am trying to say is that, I understand you and i wish you the best of luck....Kwa umri wako utakuwa umekwepa mikuki ya kutosha kwahiyo itakuwa rahis kuwa identify matapeli...
 
Haya bana
 
Sawa ngoja waje ila wakuu shamba lenye mgogoro ni hatari sana ..
 
Baba wa uyo mtoto yupo hi?
Mjane ni sawa na kiwanja chenye mgogoro, unahakikisha vipi hatimiliki na usalama wa raia atakaejitokeza?
 
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
kigezo cha umri ndo changamoto
 
Kauli ya anayejitambua inasemwaga na watu wenye dharau...

Sasa sijui Ni perceptions zangu tu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…