Natafuta mchumba wa kiume

Kama upo Mwanza njoo pm tuanze majadiliano ya ukweli.
 
Weweeee!!. Unaishi dunia gani?. Vijana waliopo makanisani hasa wasomi ni wale waliokwishakata tamaa kwa ajili ya madhambi na stress Za kukaa jobless miaka mingi baada ya kutoka na makarai vyuo vikuu. Mama wachungaji na wao wamewafanya vijana hao mtaji wanawasakizia wasichana kwa dau la 500,000/=. Kwa kila msichana atakeyefanikwa kulengeshewa kwa kijana na kufunga ndoa. Wewe binti nenda sehemu za recreations siku za weekend utakutana na vijana wenye ajira zao wako huko ku relax baada ya kazi za week nzima. Nimekusubiri pm sikuoni.
 
Hadi mliokooka mnatafuta waume kwa style hii!!

Mikesha, kwaya, makongamano, mikutano na semina za kanisani zimegonga mwamba au?
 
Haujaokoka unadanganya, ukiwa mlokole na ni kijana huwa kuna vijana CGM (Christ gospel Messengers) lazima utajifunza na kuna possibility kubwa ya kupata mchumba kupitia hili group, I insist Kama wewe ni mlokole be patient utapata tu mchumba wako ukimshirikisha mungu, lakini siyo kujitangaza JF kuwa wewe ni bikra unaaibisha wokovu wako.
 
Uamuzi ni wake. Ushauri umefika, tusimchagulie.
 
Mwisho wa huu Uzi kuna mtu atapigwa
 
Sifa zote ninazo
Ila ngoja nijenge ka house Kwanza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…