Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Wakaogelee sio!Baharia kazi kwenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakaogelee sio!Baharia kazi kwenu
huo ujinga siwezi kufanya"Tutafanya baada ya ndoa" jibu kama baharia
Huenda hakufahamu tangu awali ya kwamba Jamii Forums ni pana sana na kuna wafukua makaburi wenye weledi uliotukuka.View attachment 1508567
Huyu taperi
HahahaHuyu ni tapeli..niliingia pm yake tukachat kidogo tu nikaanza kuombwa hela ya umeme.jizi sana
. 😂😂😂 Wataliwa wa2View attachment 1508567
Huyu taperi
Hahaha watu mnafukua makaburi
NipoHabari wapendwa!
Mimi ni msichana wa miaka 23. Natokea mkoa wa Mwanza Ni mkerewe nimeamini fika kuwa nikija hapa JF naweza pata mchumba wangu wa kunioa. Kwa Sasa nipo Arusha nasoma elimu ya Juu. Nipo tayari kuolewa na mwanamme mwenye sifa zifuatazo;
1. Awe na umri kuanzia miaka 26 mpaka 34
2. Awe anajua kutafuta pesa. Ila siyo lazima awe tajiri
3. Dini awe mkristu.
4. Kabira lolote
5. Asinitake kimwili kabla ya kufunga ndoa.
Mengine tutajuza huko pm. Sifa zangu Mimi ni kama ifuatavyo. Nimeoka, bado sijamjua mwanamme(bado nipo bikira), Ni mweupe, Ni mvumilivu na nina miaka 23 kama nilivyotangilia kusema.
Karibu sana
njoo tuyajengeHabari wapendwa!