Natafuta mchumba wa kiume

Natafuta mchumba wa kiume

Chuo unamaliza lini tusije kuta tunatoa matumizi tu huko chuoni.
 
Binti ulimpata mchumba wako?
 
HILI JAMAA JANAUME HALAFU LINATAFUTA MCHUMBA WA KIUME?

WAKUU MLIOENDA DM LETENI MREJESHO HUKU.

EBU MPITIE NYUZI ZAKE ZA NYUMA HUKO NI MAN MKABISA
 
Huyu ni tapeli..niliingia pm yake tukachat kidogo tu nikaanza kuombwa hela ya umeme.jizi sana
 
unafikiria wanaume waowaji wanavutiwa na bikira.....????bikira ya nini??kusumbuana tuu kisa.....????wanataka siku ya siku anaupenyeza mkuki shaaaaa......??? umeokoka ndio kitu gani??? umeshindwa kuongea na Mungu unaemuabudu unarudi kwa wanadamu kuwaambia hitaji lako???kwanza kusema tuu una bikira wewe ni mpumbafu kabisa...msichana aliewweza kutunza usichana wake hawezi kupayuka payuka ana bikira......hapa watapambania kuhakiki..... tabia na heshima ndio silaha ya kumpata wako muhibu........talk to your God......kila la kheri.....
 
kwakweli lazima niwe mkweli siwez ingia kwenye ndoa bila kujua utamu wako
 
Habari wapendwa!

Mimi ni msichana wa miaka 23. Natokea mkoa wa Mwanza Ni mkerewe nimeamini fika kuwa nikija hapa JF naweza pata mchumba wangu wa kunioa. Kwa Sasa nipo Arusha nasoma elimu ya Juu. Nipo tayari kuolewa na mwanamme mwenye sifa zifuatazo;

1. Awe na umri kuanzia miaka 26 mpaka 34
2. Awe anajua kutafuta pesa. Ila siyo lazima awe tajiri
3. Dini awe mkristu.
4. Kabira lolote
5. Asinitake kimwili kabla ya kufunga ndoa.

Mengine tutajuza huko pm. Sifa zangu Mimi ni kama ifuatavyo. Nimeoka, bado sijamjua mwanamme(bado nipo bikira), Ni mweupe, Ni mvumilivu na nina miaka 23 kama nilivyotangilia kusema.

Karibu sana
Nipo
 
njoo tuyajenge
 
Back
Top Bottom