Natafuta mchumba wa kunioa, nipo Mbeya

Natafuta mchumba wa kunioa, nipo Mbeya

Tenx a lot ma ssta let me change ma decision from now I obey ua advice.. from now I don't need any boy friend let me go to school coz am still a young so plz violet ma previous text.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona huna msimamo??? umeanzisha thread ya kutafuta mpenzi au kupewa ushauri wa elimu??? Hii thread haina maana tena ni bora ifutwe tu kwa maana utasumbua watu bure... Au ulikuwa unapima watu imani zao?? ina maana huyo sista asingekupa huo ushauri ungekubali kuolewa...duuh kuwa na msimamo itakusaidia maishani mwako
9371b2eca929b3331eccc7bc13bf1d64.jpg


Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
Mhhhhh, mademu wa Mbeya tatizo lao sura za kutisha. Ebu tuwekee picha yako kwanza, tusiuziane vitumbua kwenye mfuko.
 
Tutajionea mengi mwaka huu.... lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom