Natafuta mchumba wa kunioa, nipo Mbeya

Natafuta mchumba wa kunioa, nipo Mbeya

Hawatafutwi hivi eti.......then kama ni kwel hujifunzi kuandika tu kwenye forum na kujifurahisha kwamba umeweza kuweka bandiko lako basi ur age category bado sana, ndo kwanzaaaa upo kwenye adolescence if not late adolesence, hapo sio pa kutafuta mchumba, hapo ni pa kusimama na usichana wako na kukabiliana na changamoto zinakumba usichana wako wa moto.

Hapo mwili na hormones zake tu usipokaa vzur vyaweza kukupiga mtama, namna gani unaweza kusema unatafuta mchumba, changamoto na mabadiliko makubwa ya mwili wako yanayohitaji umakini na kujistahi kwa kiwango kikubwa haitakiwi kuwa interferred na vitu vya msingi kama mchumba.

Otherwise, ukubaliane kuwa changamoto hizo utazihandle ukiwa ndan ya uchumba huo, na hapo bado hujacheza cheza, haijalishi umecheza ukiwa na age gan...lkn kila age category ina mchezo na mdundo wake na effect zake ktk ukamilifu wa ww kuwa msichana na advantage mbele ya safar, kuna mdundo usipoucheza, lazima ukusumbue mpaka uzeeni.

Angalia mbali, make ur future positive.
 
Back
Top Bottom