Kwani mitandaoni sio watu Ebu acheni fikra za zamani.Kwani wewe umeitwa huku?? Na hujajiuliza swali Dogo why watu wa JF waweke love connectMtoto mdoooogo, mbichiiii kwa enzi izo asingeweza kuthubutu ata kuandika haya! Huyu wa sasa ameshagongwa gongwa kwa umri wake huo adi amekata tamaa ya kukutana na mume wake alopangiwa na Mungu kaja kutafuta mitandaoni
Halafu nyie ambao hamuamini kwenye kutafuta wapenzi humu huwa mnabonyezaga love connect ili muone mapishi?.Ebu tutokeeni hapa na ujingaAkikujibu nitag mkuu
Piga kelele kwa muolewajwii naona Mabazazi wachafua Binti za watu walivyonunaSikiliza katika uislam bab ndie walii wa ndoa. Yaan ndie anaeniozesha kwa mume nimpendae . Hivyo anajukum kubwa saana juu yangu. Mfano mimi hata nikitokea kumpenda mwanamume kisha nikamueleza Baba halafu Baba akaona hajaridhika na tabia ya huyo anaetaka kunioa anahaki ya kukataa na ndoa haiwez kufungwa..
Ndio maana nimesema nikiridhika nawewe nitakachofanya nikumtumia namba ya baba yangu na sio yakwangu ili aelekezwe napoishi kisha aje nyumbani aongee na Baba kisha ndio tuonane nae tukiwa pamoja na kaka yangu . Baada ya hapo kama yupo tayari ataleta mahari ndoa ifungwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke apatikane humu, masiahara hayoKwani mitandaoni sio watu Ebu acheni fikra za zamani.Kwani wewe umeitwa huku?? Na hujajiuliza swali Dogo why watu wa JF waweke love connect
Kweli ushamba Ni mzigo wa kichwa
Kajibuje Tena wajameni?
Jamani 20 Sasa anajitambua na Elimu hata kwenye ndoa atasoma tu Tena ndo kitabu kitanyooka huwezi just kipato chake Cha sasaMdogo wangu, mi nakushauri uende Form V!
Ninachojua, mtoto muungwana na mtulivu na mwenye Bikra Kama wewe, tayari washenga wangekuw wameshamzungukia na barua za vijana waungwana pia!
Mwenye Siri ya Bikra yako na tabia yako ni wew au mwenyew au aliyekubikiri kama umedanganya kuhusu Bikra!
Lkn kimantiki inaleta ukakasi kwa mtu mwenye sifa Kama zako, ktk umri wa miaka 20 kuanza kujitangaza kutafuta mwanaume!
Ukweli unao wew, sisi kazi yetu ni kukutakia kheri katika hitaji la nafsi yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo ya zamani, kipindi Hicho watu walikuwa wachache ilikuwa ni rahisi kufanya hayo. Leo kijana unaependa akuoe yupo Tandale kwa tumbo, familia na ukoo wake hupo kagera, Hapo dad yako atascan vipi tabia ya huyu bwana na familia yake japo kwa uchache.Sikiliza katika uislam bab ndie walii wa ndoa. Yaan ndie anaeniozesha kwa mume nimpendae . Hivyo anajukum kubwa saana juu yangu. Mfano mimi hata nikitokea kumpenda mwanamume kisha nikamueleza Baba halafu Baba akaona hajaridhika na tabia ya huyo anaetaka kunioa anahaki ya kukataa na ndoa haiwez kufungwa..
Ndio maana nimesema nikiridhika nawewe nitakachofanya nikumtumia namba ya baba yangu na sio yakwangu ili aelekezwe napoishi kisha aje nyumbani aongee na Baba kisha ndio tuonane nae tukiwa pamoja na kaka yangu . Baada ya hapo kama yupo tayari ataleta mahari ndoa ifungwe
Sent using Jamii Forums mobile app
warangi! hapana labda itokee tuu... NIMEKOMA.
Si ususbiri alete mrejesho wa kupata mume humu ndo yakutoke yanayokutoka?? Usijifanye mjuaji kiiivo bintiKwani mitandaoni sio watu Ebu acheni fikra za zamani.Kwani wewe umeitwa huku?? Na hujajiuliza swali Dogo why watu wa JF waweke love connect
Kweli ushamba Ni mzigo wa kichwa
Hili swali limeshaulizwa Mara nyingi na majibu yakatolewa labda mwenzetu Ni mgeni humu.
Kwanza hili jukwaa Ni special kwa jili ya Love Connect na walioweka segment hii yote hayo wanayajua kwamba mtaani na mtandaoni hakuna tofauti .Unaweza kuta hata wewe upo jirani na huyo Dada bht tu mmekutana humu bila kujua
Kwani watu wa mtaani na hapa Ni wale wale au wewe sio mtu?
Mfano Kuna vyuo online na vya kwenda physically.
Yote Ni maendeleo na mtu mzima hapangiwi Sasa Kama mtaani hawajajitokeza asijaribu huku mbona wengi wamejaribu na kupata.
Mifano ipo hai sir mahusiano yote mazuri simply because walikutana mtaani.
Sasa wewe tulia dawa ikuingie na acha kuingilia yasiyokuhusu unaweza Anza kuperuzi page za kujufunza kupika maandazi huku umevamiaa na wenzako wote wenye mindset mbovu
Umempata!!!?Mimi ni msichana ninaishi Dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuwa hakimu weyeMimi ni msichana ninaishi Dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app
Lusaa mwaree ahhhaaMimi ni msichana ninaishi Dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app