Natafuta mchumba wa kunioa

 
Mdogo wangu, mi nakushauri uende Form V!
Ninachojua, mtoto muungwana na mtulivu na mwenye Bikra Kama wewe, tayari washenga wangekuw wameshamzungukia na barua za vijana waungwana pia!

Mwenye Siri ya Bikra yako na tabia yako ni wew au mwenyew au aliyekubikiri kama umedanganya kuhusu Bikra!

Lkn kimantiki inaleta ukakasi kwa mtu mwenye sifa Kama zako, ktk umri wa miaka 20 kuanza kujitangaza kutafuta mwanaume!

Ukweli unao wew, sisi kazi yetu ni kukutakia kheri katika hitaji la nafsi yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa.Mungu akupe mume mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni mwanaume angalia alicho changia katika huu uzi #5#.
 
Write your reply...wai mapema nakusubil ww chap chap
Ni mwanaume angalia huu uzi #5#
[emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…