Natafuta mchumba wa kunioa

Natafuta mchumba wa kunioa

Anaogopa date coz huenda mzigo ukaliwa beforehand, ndio maana anasisitiza baba na kaka wawepo ili kuepusha shetani kufanya kazi yake.
Kwa dunia ya sasa hivi, kumpata mwanaume wa hivo mtandaoni ni shughuli. Yaani kuongea ni hadi kaka awepo?
Labda huko vijijini ambapo mwanaume anaenda kuomba kumuoa binti bila hata binti kujua.
 
Mtoto mdoooogo, mbichiiii kwa enzi izo asingeweza kuthubutu ata kuandika haya! Huyu wa sasa ameshagongwa gongwa kwa umri wake huo adi amekata tamaa ya kukutana na mume wake alopangiwa na Mungu kaja kutafuta mitandaoni
Huyo hana umri huo atakuwa anachangamsha kijiwe
 
Nakuja, angalau hapa hakuna vigezo🚶🚶
 
Una uhakika umefikisha miaka 20?.
Kwanini kaka yako awepo kama wewe una miaka 18+?.
Ina maana kabla hamjafunga 'ndoa' auhitaji kupata muda wa kumjua mume wako mtarajiwa?. Au kaka yako ndio atakusaidia kumjua ndio maana inabidi awepo.?
Katika sheria ya dini yangu ya kiislam mwanamke hatakiwi kukaa faragha na mwanamume ispokuwa awepo mtu mwingine ambae ni mahariim yaan haruhusiwi kumuoa . Ndio maana nikasema ni lazima niwe na kaka ili usijenishawishi ujinga .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20200126-WA0042.jpg
    IMG-20200126-WA0042.jpg
    18.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom