MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Acha kutupeperushia ndege wetu we mama kijacho [emoji3]Kua makini kuna wazee wa kula tunda kimasihara[emoji317]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutupeperushia ndege wetu we mama kijacho [emoji3]Kua makini kuna wazee wa kula tunda kimasihara[emoji317]
Sijazaa na sijawahi kuwa na mwanamume katika mahusiano .
Kuhusu umri nadhani ushafikia nahofia nikizidi kukaa bila kuolewa nitazinii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabila "Mrangi"! Haya buanaa, wenye haja ya kuchapiwa, nendeni PM
Anaogopa date coz huenda mzigo ukaliwa beforehand, ndio maana anasisitiza baba na kaka wawepo ili kuepusha shetani kufanya kazi yake.Waende hata kwenye date, to know more about each other Eli.
Waenjoy moments pamoja. Ili afanye maamuzi sasa ya kumkubali au kukataa.
Mtoto mdoooogo, mbichiiii kwa enzi izo asingeweza kuthubutu ata kuandika haya! Huyu wa sasa ameshagongwa gongwa kwa umri wake huo adi amekata tamaa ya kukutana na mume wake alopangiwa na Mungu kaja kutafuta mitandaoniUshazaa mtoto? Hafu mbona umri wako bado mdogo hiyo mikiki ya ndoa utaiweza?
Kwa dunia ya sasa hivi, kumpata mwanaume wa hivo mtandaoni ni shughuli. Yaani kuongea ni hadi kaka awepo?Anaogopa date coz huenda mzigo ukaliwa beforehand, ndio maana anasisitiza baba na kaka wawepo ili kuepusha shetani kufanya kazi yake.
Yaan bado hajajua ndoa ni makubaliano ya watu wawili uyu mtoto sasa hapo baba na kaka wameingiaje? Kwamba atongozwe baba au kaka???
Huyo hana umri huo atakuwa anachangamsha kijiweMtoto mdoooogo, mbichiiii kwa enzi izo asingeweza kuthubutu ata kuandika haya! Huyu wa sasa ameshagongwa gongwa kwa umri wake huo adi amekata tamaa ya kukutana na mume wake alopangiwa na Mungu kaja kutafuta mitandaoni
Mtoto mdoooogo, mbichiiii kwa enzi izo asingeweza kuthubutu ata kuandika haya! Huyu wa sasa ameshagongwa gongwa kwa umri wake huo adi amekata tamaa ya kukutana na mume wake alopangiwa na Mungu kaja kutafuta mitandaoni
Katika sheria ya dini yangu ya kiislam mwanamke hatakiwi kukaa faragha na mwanamume ispokuwa awepo mtu mwingine ambae ni mahariim yaan haruhusiwi kumuoa . Ndio maana nikasema ni lazima niwe na kaka ili usijenishawishi ujinga .Una uhakika umefikisha miaka 20?.
Kwanini kaka yako awepo kama wewe una miaka 18+?.
Ina maana kabla hamjafunga 'ndoa' auhitaji kupata muda wa kumjua mume wako mtarajiwa?. Au kaka yako ndio atakusaidia kumjua ndio maana inabidi awepo.?
Watu na bahati zenu
[emoji41]habari njema hiiSijazaa na sijawahi kuwa na mwanamume katika mahusiano .
Kuhusu umri nadhani ushafikia nahofia nikizidi kukaa bila kuolewa nitazinii
Sent using Jamii Forums mobile app