Itakuchukua muda kuelewa ukweli . Embu jaribu kufuatilia message zangu ukiwa unafikiria utagundua sehem kubwa nikama natania na sipo serious .Daaaa kumbe ni dume yaani jamii forum bwana nilivyowahi pm sasa daaaa! Oya wanaume tuwe tunaacha mambo ya ajabu alaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu fala ni dume ila kweli ni Muislam. Inawezekana yupo kweli muolewaji ila huenda sio yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi nawe unaweka lini bango la kutafuta mume, unajua nalisubiri kwa hamu [emoji38]
Labda nimalizie kwa kutoa maelezo ya mwisho baada ya hapa sitaongea bali nitakuwa natoa muendelezo wangu kuanzia kutafuta mchumb mpaka kuolewa.
Kwanza siwez kumuaminisha mtu asilimia mia moja kuwa mi ni msichana na sio mvulana. Hivyo nitaacha wanaopotosha kuwa mi mvulana waendelee na aliyeserious na kuoa najua kama anataka uhakika atakuja nyumban nikishamuelekeza
.
Ila pia siwez kuwalaumu wanaohic kuwa mimi sio msichana kwani sms zangu za awali zinawaigopesha. Ila nikwanini niliamua kujivika uhusika ule ?
Jibu ni kuwa jf hii inawatu tofauti wengine ni wema wengine wachafu na wako tayari kuharibu maisha ya sisi waschana kwa gharama yeyote ile. Mfano wapo wanawake washaharibiwa maisha yao humu. Sasa ni vigum kuwa safe ikiwa we unajulikana kama mwanamke na haujaolewa bora ukiwa umeolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijiunga Jf mwakajana baada ya kumaliza kidato cha nne ila nilichogundua wasichana wanasumbuliwa saana humu . Nilikuwa nikimuangalia Faiza foxy ambae alisumbuliwa pamoja na kuwa ni mwanamke anaejiheshim mpaka akaanzisha uzi wa kuwa wanaotaka kumtongoza wamtongoze hadharani . Nikijiangalia mimi binti ambae bado sijaolewa nibora niishi humu bila kujulikana . Sasa kwakuwa kwa sasa nahitaji mume sinahaja ya kujificha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji847][emoji847]Nitakujibu usijal japo najua watu ambao ni wabaya hawaamin wanakaa kuwaza vitu vya kijinga.Nidanganye kwa manufaa ya nani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni msichana ninaishi dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unahitaji ndoa au kuingia kwenye tanuli la moto yaani mwanaume usimchunguze tabia kama anafaa kuwa kiongozi bora wa familia yako wewe unachohitaji afike kwenu kukamilisha taratibu hauko serious.Kuna baadhi ya watu wanaendelea kuhofu ila mimi niwaambie yafuatayo.
= kama ikitokea ukaombwa hata mia basi jua mimi ni muongo na nitapeli.
= kama ikitokea nikakwambia tukutane eneo tofauti na nyumbani kwetu ujue mi muongo na nitapeli.
Kwa ufupi ni kuwa tukikubaliana sitahitaji namba yako wala sitakupa namba yangu . Mimi naweza kukuelekeza mahali napoishi na wazaz wanguu. Wewe ili upate uhakika unaweza kuja kuulizia kwanza kwani baba yangu ni maarufu . Kisha uulizie tabia za familia yetu kisha ukijiridhisha uje. Na unaruhusiwa kuja na mtu hata polisi kama unahof . Kubwa jua kuwa hatutaongea kupitia sim wala kuchat mpaka tuoane
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee umewaza parefu Sana ngoja nirudi reverse japo sikuwa hata na vigezo
Soon..vere soonHivi nawe unaweka lini bango la kutafuta mume, unajua nalisubiri kwa hamu [emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasasa bado sijaelewana na mtu japo pm wapo wengii ila kuna kitu nataka uelewe ni kuwa.
Mimi bado inatakiwa niendelee kusoma kwani matokea yangu ya kidato cha nne ni mazuri . Na baba alinizuia nisiendelee mpaka nitakapoolewa kwani kusoma vyuo hivi ambavyo watu wapo huru ni mtihan. Hivyo anaekuja kutaka kunioa lazima ajue kuwa bado nahitaji kusomaa
Sent using Jamii Forums mobile app